Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amepata kura 453, katika kura za maoni Jimbo la Isimani, Iringa
- Aliyemfuatia kwa wingi wa kura ni Sebastian Kinyonyo aliyepata kura 16. Kwa matokeo hayo Lukuvi anaweza kuendelea kuwakilisha CCM katika Uchaguzi Mkuu 2020