Me binafsi naamini kwenye kujitolea, iwe kiakili, kinguvu n.k tukijitolea hata tuwe na mtaji mdogo kiasi gani tutafanya kazi kubwa kwa kutumia mtaji mdogo na matokeo yake ni kuwa na matokeo makubwa ambayo yatazaa pesa nyingi na hatimaye kupigana na adui UMASKINI. Hii naongelea hasa tukiungana na bado tukawa na rasirimali chache za kuanzisha kitu kama ujasiliamali wa kufuga kuku, kufuga nyuki, kulima kama korosho, ufuta na hata mazao mengine.
Mfano me binafsi ni mtaalamu wa kufuga nyuki na kweli nafuga pale Fukayosi Bagamoyo, Mwingine atakuja ni mtaalamu wa kutengenza mizinga, na mwingine atakuja ni mtaalam wa kutengeneza nyumba ya nyuki (Bee House), na mwingine mtaalam wa kutengeneza vifaa vya kulinia Asali, kuvunia maziwa ya nyuki (Royal Jerry), Kuvunia sumu ya nyuki (Bee Venom), Nta n.k. tukipata nguvu ya hivyo, ndani ya mizinga 20 tu ya kisasa. Vijana tutakuwa mbali sana ndani ya mwaka mmoja au miwili na hivyo kumpiga adui UMASKINI. Naomba kuwasilisha