NCK Tool ni software inayokuwezesha kuafanya mambo mbalimbali katika simu za kawaida na smart phone unaweza kuflash simu yako kutumia hii tools unaweza kurepair email, kuformat simu,na pia ni mahususi kwa kutoa lock simu zinazotumia laini moja mfano simu zinazotumia lain ya tigo au voda peke ake utaweza kuifanya ikatumia lain zote
Idownload sasa uweze kuitumia na urahisishe maisha yako link hapa chini
https://drive.google.com/file/d/0B0jD_YFKHwGQeFBYWER4RnNCZ3c/view