Miracle box ni nibox linalokuwezesha kuflash simu na kufanya mambo kadhaa yanayohusinana na kurepair simu yako miracle inapatikana katika bei mbalimbali kulingana na vision yake lakini kwasasa watu wengi wanatumia Miracle crack box ambayo inafanya kazi bila kuhitaji box ambapo utatakiwa kuwa na computer na usb cable pekee na utaweza kuanza kazi ya kuflash simu
Mambo yakuzingatia
1.Hakikisha umeinstall drivers zote za simu
2.Hakikisha umeinstall Miracle software ambayo inafanya kazi na inafunguka bila shida yoyote
3.Hakikisha start button inafanya kazi
4. Hakikisha simu yako inacharge kuanzia asilimia 50 na kuendelea
Fanya chaguzi sahihi kulingana na tatizo la simu lilivyo kwa maelezo zaidi tupigie 0763371193