Baada ya apple kuitoa huduma huduma iliyokuwa inamwezesha mtu kuangalia simu na bidhaa za apple kama inacloud au haina
imeekuwa tatizo kwa watu wengi anapokuwa na simu yenye password kujua kama ina-icloud au la sasa njia mpya ni hii hapa ingia http://iunlocker.net/check_imei.php
utaona link chini kabisa bonyeza hapo kisha fata maelekezo kuangalia ni bureee kabisa kutoa icloud ni hela bei huendana na bidhaa husika Enjoy
Comments