JINSI YA KUPATA SIMU ILIYOIBIWA AU KUPOTEA
- MZEEBABA.COM
- Feb 8, 2018
- 1 min read
Kutoka watu kuibiwa na kupoteza simu mara kwa mara nataka kushare njia rahisi ya kujua simu yako ilipo bila gharama kubwa unachotakiwa kufanya nikuhakikisha unakua na Computer au simu yenye mtandao yaani internet Pia lazima ujue account ya email uliyokuwa ikitumika katika simu yako(GMAIL) baada ya hapo fungua Google device Manager kisha jaza email yako kama inavoonesha kwenye video hapa chini. Usiache kusubscribe kwenye chaneli yetu kuendelea kupata ujuzi zaidi
Commentaires