Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amewashinda watia nia wenzake 12 wa Ubunge na kuibuka mshindi kwenye kura za maoni kwa kupata kura 367 sawasawa na 97.6% ya kura zote 376 zilizoipigwa.
0 comments
Like
Comments
Commenting on this post isn't available anymore. Contact the site owner for more info.